Kesho saa 7 mchana Moja Mwanza, Moja Musoma, Moja Bukoba na Moja Mpanda we are sorry...
Kesho hapo Mbezi ni
Happy Nation - Mwanza
Hai - Mwanza
Happy Nation - Musoma
Hai - Musoma
Happy Nation - Bukoba
Hai - Bukoba
Happy Nation - Mpanda
Hai - Mpanda
Patamu hapo
Tusisahau kwamba kutoa kwa wengine kunasaidia kulinda heshima yao na hutuwezesha kuonyesha upendo wa Mungu kwa njia zinazoonekana na jana ilikuwa siku nzuri sana kwetu na kwa Abiria wetu tunawashukuru na tunawapenda.
Happy Boxing Day Familia...