✅New members changamkieni hii fom ya 2.74$
✅Kama uko na MEC come sell them to me kama hauna do this....
✅To get MEC create an account here
https://t.co/V275K1h8pz
✅Then download their app
✅Ukishadownload log in your account create a new wallet alafu enda verify KYC
Kuna hii level ya msoto huwa inakuhit adi unaunlock a new skill ya kudiscover food combos with the available scarce resources and trust you me, it always works out. Lakini funds zikiingia hio combo haiwezi pita kwa koo
Wale wamekuwa nakuru for long na wanajua hii barabara vizuri know very well kuna police hukuwa amejiseti ndani ya compound ya kanisa na yeye ndo hupea hawa askari wako mbele report ya gari zinaoverspeed wasimamishe hapo kwenye wako
Kuna kijana wa Forex jana alijipata kwa mikono ya traffic police pale Salgaa baada ya kushikwa kwa overspeeding.
Aliambia tu police waandike cash bail atatuma lawyer wapatane kortini😂