Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Using’ang’anie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
Kuna Akili Ya Kutafuta Pesa , Akili Ya Kutunza Pesa , Na Akili Ya Kuzalisha Pesa , hizo Ni Akili Tatu Tofauti ,
Hizi Skills Usipokuwa Kuwa Nazo Kama Kijana , Umeisha😁.
Mwanangu Magesa alikuwa na shida ya tumbo. Awali aliambiwa ana vidonda vya tumbo.
Kuna nyakati tumbo likimshika alikuwa hawezi hata kutembea.
Siku moja alizidiwa. Tukakimbia hosp.
Niliitwa pembeni Daktari akaniuliza: "Magesa ni nani yako?" Nikamjenga!
🧵🧵
Kwenye maisha kuna maumivu mawili ya moyo lazima ukutane nayo..
1.Kutoka kwa mwanamke
2.Kutoka kwa ndugu wa karibu
Baada ya hapo, unakua Mwanaume kamili sasa.