Pengine tungemsaka Mungu kwa kiwango kile kile tunachowasaka na kuwatafuta binadamu ili wabaki kwenye maisha yetu, basi Mungu angetupatia watu ambao tusingehangaika kuwasaka wala kuwasihi wabaki nasi.
Mheshimiwa Hezron Misoji, ndugu yangu, nakutazama juu kama kiongozi bora wa baadaye katika nchi yetu🇹🇿. Mungu aendelee kukutunza na kukuongoza katika kila hatua.🫡
08/02/2026✍️