TPDC ndio iliyoshinda zabuni ya uagizaji wa mafuta chini ya utaratibu wa PBPA, ila kandarasi ya uagizaji ilikabidhiwa kampuni binafsi ya Vitol ya Uswisi katika mazingira ya kutatanisha na kuwepo harufu ya Rushwa. VITOL wakaleta mafuta kwa bei ya juu
#UfisadiMafuta@actwazalendo
UFISADI
👉🏿TPDC ilishinda zabuni kwa faida ya USD 267 kwa Dizeli na USD 285 kwa Petroli
TPDC wakawapa kazi Kampuni ya VITOL ya Uswisi; iloleta mafuta kwa faida ya USD 400. VITOL haohao wakapeleka Msumbiji na Zambia kwa bei chini
@ACTwazalendo@ACTBarazaKivuli#UfisadiMafuta
TPDC ilishinda zabuni kwa faida ya USD 267 kwa Dizeli na USD 285 kwa Petroli
TPDC wakawapa kazi Kampuni ya VITOL ya Uswisi iloleta mafuta kwa faida ya USD 400 VITOL haohao wakapeleka Msumbiji na Zambia kwa bei chini
@ACTwazalendo@ACTBarazaKivuli
TPDC ilishinda zabuni kwa faida ya USD 267 kwa Dizeli na USD 285 kwa Petroli
TPDC wakawapa kazi Kampuni ya VITOL ya Uswisi; iloleta mafuta kwa faida ya USD 400. VITOL haohao wakapeleka Msumbiji na Zambia kwa bei chini
@ACTwazalendo@ACTBarazaKivuli
Ninachojua siku moja dunia itaendelea kuwepo bila hata ya mimi ndani yake...
Watu wataishi , watakula na kufurahia neema ya dunia bila hata ya uwepo wangu...
Nitakuwa ndani ya kaburi langu , futi sita mchanga ukiwa juu yangu...
Wanasema hakikisha kinachokupa kiburi kinadumu milele...
Kipi kwangu kitabaki milele ? jibu langu ni hakuna , hata siku nitakayokufa nitapokonywa hata jina langu badala yake nitaitwa "marehemu"...
Kwa nini nifuge chuki kifuani , kwa nini nikunje roho kwamba fulani asifanikiwe ,
Kila mtu aishi maisha yake, autumie muda na faragha yake kwa matamanio yake.
Siku moja ukimya wa milele utafika kwenye maisha yangu , nitafukiwa kwenye kaburi langu...
Mwenyezi atupe mwisho mwema , na ayafanye makaburi yetu kuwa miongoni mwa viwanja vya Jannah..🙏