4 bedroom kuna mahali nilitoboka 3-4M bana,
Mabati depends na size Bro
Bro
Simiti kama 100-150 for 3 bedroom
Bricks ni 3500+
Sand 2-3 lorries
Roofing ni ile frames hapo nayo fundi atakushoo juu hapo ni mambo tofauti (Roofing?
Misumari( depends na fundi)
Binding
Ballast kuna vitu mingi itakuwa dependable na fundi,,,all ghe best kaka