Leo jioni nikitoka kazini,I was sitting next to a Gen Z ,ju hakuwa na cash ya kulipa mat,alilipa na Mpesa ,but issue iko hapa,conductor anataka kuangalia mpesa message,huyu bois na yeye anasema simu yake haiguzangwi na mtu mwingine ,na amekataa kabisa,sasa nani akona makosa kati yao wawili ?