Ahmednasir Abdullahi, SC speaks about “Apologist lawyers who suck up to bad Judges.” They include James Ochieng Oduol and Jacqueline Manani amongst a few others. Speaking for myself and many Advocates, we will drive them and their incompetent and corrupt Judges out of town.
Asubuhi ya baraka leo nikiwa njiani kuelekea Shule ya Polisi Tanzania-Moshi, nimepata fursa ya kusalimiana na kuzungumza na wananchi wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
UNBELIEVABLE! UNMATCHED! UNSTOPPABLE! PM Abiy Ahmed just unveiled a 57-hectare mega-corridor in Addis Ababa that looks straight out of the future! A colossal triumph of vision and beauty Africa's capital has officially transformed into a global wonder! 🤯
Ethiopia 🇪🇹
Happening now at Bamburi Mtambo..... Panga boys cornered by KDF officers after stealing from a woman at beach. They were escaping using that Nissan Cube.
VIDEO:
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kutoa ratiba ya wazi ya mgawo wa maji kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo ndani ya siku mbili, akisisitiza kuwa wananchi wanahitaji kufahamu siku na masaa sahihi yanayotengwa kwa ajili ya maeneo na kuona ikitekelezwa kama ilivyopangwa.
Prof. Kitila ametoa maagizo hayo leo wakati wa kikao kazi na uongozi wa DAWASA pamoja na wenyeviti wa Serikali za Mitaa wa Wilaya ya Ubungo kilicholenga kujadili na kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji katika jimbo hilo.
Katika kujibu agizo hilo, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji wa DAWASA, Mhandisi Ndele Mengo ameahidi kuwa ratiba hiyo itakuwa tayari ndani ya siku mbili, ambapo kikao hicho kilichofanyika siku ya Jumatatu kilikubaliana kuwa ratiba hiyo ikamilike na kupatikana ifikapo Jumatano asubuhi.
Aidham Prof. Kitila amebainisha kuwa ingawa changamoto za maji zipo katika maeneo mengi, kuna maeneo yanayohitaji hatua maalum kutokana na kuwa na msukumo mdogo wa maji jambo ambalo linaweza kudhibitiwa kupitia ratiba hiyo ya mgawo.
Pia, amewaomba wenyeviti wa Serikali za Mitaa kushirikiana na serikali katika kutoa elimu kwa wananchi ili wajenge utamaduni wa kuwa na vyombo vya kuhifadhi maji wakati yanapotoka, ili kuwasaidia wakati wa kusubiri mzunguko mwingine wa mgawo.
VIDEO:
Benki ya Equity Tanzania imezindua rasmi kampeni yake mpya inayojulikana kama “Kila Muamala, Zawadi”, inayolenga kuwazawadia wateja na wafanyabiashara nchini kote fedha taslimu wanapofanya miamala yao ya kila siku msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka.
Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Novemba 16, 2026, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Shumbana Walwa ameeleza kuwa benki hiyo inatambua umuhimu wa msimu wa sikukuu kwa familia na wajasiriamali, na hivyo ikaamua kuongeza furaha na chachu katika miamala inayofanyika kila siku.
Amesema kupitia kampeni hiyo inayofanyika kuanzia tarehe 12 Novemba 2026 hadi 2 Januari 2027, jumla ya washindi 602 wanatarajiwa kujishindia fedha taslimu bila ada au tozo yoyote ya kuingia kwenye droo.
Ameongeza kuwa katika kila moja ya droo sita za kawaida, washindi 102 watapatikana na kujishindia kuanzia shilingi 50,000 kila mmoja, huku kilele cha kampeni kikiwa ni droo kuu itakayotoa washindi wawili watakaojishindia shilingi milioni 10 kila mmoja
Akizungumzia matumizi ya kadi na huduma za malipo za kidijitali, Mkuu wa Kitengo cha Malipo Equity Bank, Haidari Chamshama, amebainisha kuwa benki hiyo ina aina sita za kadi zinazogusa maeneo yote ya maisha ya mteja, na kwamba mteja anaweza kuzitumia ndani au nje ya nchi katika vituo vya mauzo (POS) pamoja na mtandaoni (e-commerce) na bado akastahili kuingia kwenye droo ya zawadi.
Naye, Balozi wa Equity Bank, Hamis Mandi ameelezea urahisi wa mfumo wa Lipa Namba kwa wafanyabiashara na wateja wa benki hiyo, akishuhudia jinsi mfumo huo unavyorudisha majibu na kuingiza fedha papo hapo kwenye akaunti kutoka benki na mitandao yote ya simu, huku ukitoa fursa ya kujikopesha mtaji wa haraka kupitia programu ya Equity Mobile bila urasimu.
While preparing to leave for Umrah, he had a heart attack and passed away while making du’a in ihram at Konya Airport.
May Allah grant him the reward of Umrah, shower him with His mercy, and reward him with Jannah. 🤲🏻
The Russia-Africa relationship is rooted in a history of engagement, including Russia’s contribution to Africa’s struggles for independence and the development of scientific, educational and technical capabilities in several African countries.
We have an opportunity to build on that history by giving our partnership a stronger economic and developmental foundation as Africa readies itself to claim its rightful place in the markets, factories, laboratories, research institutions and innovation centres of the world where the future of the global economy is being created.
Eastleigh: Fading Hopes
16 still missing six days after Eastleigh collapse
Families fear the worst as rescue efforts stall
Rescuers struggle to reach two detected by thermal imaging
Detectives question developer, county officials
Probe targets approvals for collapsed 18-storey building
Muimi: How long are we going to wait?
#JKLive
Uhalali Wa Jengo Lililoporomoka Eastleigh
NTV imebaini kuwa jengo hilo lilikuwa likiendelezwa na kampuni ya 9th Street Plaza Limited.
Kampuni hiyo inamilikiwa na Abdikadir Abdi Sheikh, Mohamed Khatar Ali Noor, na Abdifatah Ali Noor.
Kandarasi ikiwa ni kampuni ya Stromax Holdings E.A Limited chini ya mkurugenzi John Karuga Ng'ang'a.
@labaanshabaan anatathmini stakabadhi za umiliki moja baada nyingine.
#NTVJioni @FredMuitiriri