A country run by banks will always be in debt.
Healthcare run by Bid Pharma will never cure disease.
A state run by war will never know peace.
A nation run by media will never know the truth.
@DrAlfredMutua Her name is Esther Njeri. A single mother of 2. The person who is supposed to be the one to make sure that Kenyan workers in Morocco are in good hands is the one oppressing them. She hasn't been paid for 2 months, and is being mistreated by him.
@bajaber2011 She has endured insults from your even though that's not what she signed up for when you took her to Morocco to work for you. We are aware that you've threatened her several times. You refused to pay her 2 months salary. Shame on you. @DrAlfredMutua
@polo_kimanii@WilliamsRuto Halafu media freedom kitu gani?
Fanya watu kama michuki.
Hiyo State house anaita kila mtu, kwani hajui inafaa kuwa club ya walevi?
Hizo stadiums anajenga na sisi sio watu wa sports. The only exercise tunafanya ni kuhepa kanjo na imetosha.
@polo_kimanii@WilliamsRuto Why did he reduce bei ya fertiliser na tulikua sawa na ya 7k?
Why the rironi na tuko na thika super highway?
Why fish markets in homa bay na kilifi na tunapenda githeri?
Kwani aliskia hatuezi spend the whole night kutafuta fuel haziko?
Tulikua sawa na a dollar at ksh 160.
@polo_kimanii@WilliamsRuto Halafu hizo affordable zake kwani hajui tulikua tunakulia hapo kwa rent za keja za mabati?
Halafu kwani hajui since independent, ni region moja inafaa kuwa mbele?
Halafu Western kenya mbona anajenga level 6 hospital kama sisi tujafika level 10 bado aje?
@polo_kimanii@WilliamsRuto 100 thousand teachers na huwa tuna drop chuo. Watasomesha nani?
Hizo markets za avocado zikienda inje anadhani tutakula githeri na nini?
Tulikua sawa na coffee 1kg at 40 only?
Anasaidia wakulima wa miwa ya nini na tumezoea kunywa chai bila sukari?
@polo_kimanii@WilliamsRuto Unga ya 270 ilikua tamu aki.
Aliskia hatuko sawa na nyumba za mabati bila choo?
Hizo road anajenga mpaka Northeastern hazina faida.
Hizo soko pia anajenga kwani anadhani wamama hawapendi kunyeshewa?
Cleaning Nairobi river kwani hajui taka ni pato?
Bomas ilikua tu sawa na hizo ๐
@WaLoganville@GlitteringAnge Even though siko kenya, najua how my home country is developing. I was home huko January mpaka the end of February, and nilijua pia vitu ni different kwa ground. Kilele ni mob online, but different kwa ground.