Makanga hapa Rongai ndio watafanya ninunue gari aki. Yaani sijavuka barabara and someone has already grabbed my shirt buana alafu ananibeba hobelahobela kama mwizi. Unaingia ndani unapata watu washajaa, sasa unakuwa amongst the standing battalion. Mnapiga foleni mkiwa mmeshikilia chuma alafu sasa gari inaanza kukumbiswo kama zile za miraa ikitwerk kuliko madem wenu. Unarushwa from this end to the other kama nansense unapata umeuma shingo baddie ameketi anaanza kulia GBV. Mungu anipee hii pesa jamani Ata nishike mark x pekee yake nitaridhika.
One of our neibas just lost a cow, the other neiba ni veterinary amepima akasema inafaa kutupwa.
Jamaa fulani ameshout akamwambia yeye hata grades za hiyo kazi yake hakupata mzuri. Sahii ni ng'ombe inachinjwa watu wanagawana na veterinary pia yeye amesema awekewe mguu atachoma apike supu ๐