@kirigitim Kuna bolt nilifanyiwa delivery kutoka kkoo nikacheki kwenye bolt ili asinidanganye sababu sikurequest mimi Ali request alienuuzia, akaniletea mpaka nilipo namuuliza sh ngapi akanijibu "nishalipwa" nikaamua tu kumpa buku 2 kwa uaminifu
@shabanizambo@millardayo Kwa haraka wanaanza kufuatilia camera ambazo zipo majumbani kwa watu au sehemu za biashara kuwa zisajiliwe, wameona kwamba Kuna baadhi ya camera zinawachoma na kumulika vitendo vyao hivyo wanataka kuanza kuzicontrol, wakitaga kupiga tukio sehemu waangalie kama Kun camera izimwe