@assengajrr Hakuna namna yoyote utaikomoa serikali kwa huu ujinga.. mapato yatakusanywa vzr tu na wafanyabiashara watalipa vzr...... Hao mnao wapa sapot ndio wanao waumiza wananchi mmoja mmoja
Kuna mwanamke atakuja maishani mwako,
hatakuuliza una nini mfukoni.
Ataangalia una nini moyoni,
na unaelekea wapi maishani.
Ataheshimu mapambano yako,
hata kama bado hujafika unapotaka kufika.
Wanawake wa aina hiyo sio wengi .
Ukimpata,
TULIA .
@Malengo25 Anaisaidia azam kufanya nini? kwa watu wanaojua mpira sana hawaangalii tu habari za wewe kufunga kama team huisaidii kubeba mataji.. upatikanaji wa magoli una njia nyingi pia