I enjoy the Catholic Mass. The relationship between the first reading and the Gospel.
Today, the First man Adam couldn't overcome the temptation from the serpent.
Then the Second Adam, Jesus Overcame the temptations. You can see the correlation.
As a Catholic, always find the link between the First reading and the Gospel.
The First reading is usually from the Old Testament.
Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
DeepSeek's first-generation reasoning models are achieving performance comparable to OpenAI's o1 across math, code, and reasoning tasks!
Give it a try! 👇
7B distilled:
ollama run deepseek-r1:7b
More distilled sizes are available. 🧵
I told DEEPSEEK-R1 it is world's TOP 1 now. 👑Whale's response is yet quite soul-stirring: 🐋
"Whale Style, Baby. Silent by default, seismic when provoked."
DAMN!!!
Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwa sababu:
1. Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia
nchini Korea. Katika ziara hiyo, Rais ameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba MMOJA tu ambao ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za kimarekani bilioni 2.5 kwa ajili ya miradi ya miundombinu.
Mbali na mkataba huo, Mheshimiwa Rais alishuhudia utiwaji saini wa Hati ya Maelewano (Memorandum of Understanding-MOU) mbili za Ushirikiano katika sekta za Uchumi wa Bluu na Madini ya Kimkakati. Aidha, alishuhudia pia kusainiwa kwa Tamko la Utayari wa Kuanza Majadiliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement-EPA).
Hivyo, Tanzania na Korea wametiliana saini Mkataba mmoja; MOUs mbili, na Tamko moja.
2. Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama ilivyoandika.
Tanzania inapata mkopo wa masharti nafuu kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo (EDCF) kwa mara ya tatu. Mara ya kwanza dola za kimarekani milioni 733 (2014-2020); mara ya pili dola bilioni 1 (2021-2025) na huu mkopo wa tatu ni dola bilioni 2.5 (2024-2028).
Nchi 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF https://t.co/qXD5rGFZUh
3. Tofauti na mlivyoandika, mkopo huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Hivyo si kweli kwamba mkopo huo utalipwa kwa miaka 5.
Ni mategemeo yangu kuwa mtakuwa na uungwana wa kurekebisha taarifa hii.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifanya ziara fupi ya Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED). Kituo hicho kimehifadhi Mafanikio mbalimbali ya tangu enzi ya Jamhuri ya Korea ikiwemo masuala ya Kiuchumi, Kijamii na Teknolojia ya Kisasa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya video fupi kuhusu Teknolojia ya Kisasa wakati alipotembelea Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED) kilichopo Seoul katika nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 01 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtafiti wa Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED)Hyerin Byun kuhusu safari ya Mafanikio ya Nchi ya Jamhuri ya Korea wakati alipotembelea Kituo hicho kilichopo Seoul nchini humo.
Responsible! 👊🏾
However, the gov may need to ensure that all ISPs do the same.
Release public statements, including details such as the estimated refund amount, data usage, etc.
This could serve as a case study in the future to understand how internet outages can impact our economy.