Kwa wale mnaopenda kusali Zaburi. Unaweza kuanza na Zaburi 51 ya toba, kisha Zaburi 35 ya kuomba kupiganiwa halafu Zaburi 91 ya ulinzi na baraka, malizia na 23 ya wingi na baraka. 🙏🏻
"So do not fear, for I am with you; do not be dismayed, for I am your God. I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand."
Isaiah 41:10 NIV
Usijione una AKILI nyingi, EXPOSURE kubwa na EXPERIENCE nzuri katika Maisha haya kuliko MUNGU.
Ukiona umeanza kuingia ktk hatua ya kumcriticize MUNGU, Ujue ni mtego wako wa kupotezwa mazima ktk uso wa Dunia.
Usijifanye una akili nyingi kuliko MUNGU, MUNGU HADHIHAKIWI!
Kitu nishawahi kumwambia MUNGU ni kwamba; siwezi kukutumikia katika hali ya UMASIKINI!
Akaniambia, ukitaka kuishi maisha ya MAFANIKIO yenye UTAJIRI, katumikie KUSUDI nililokupelekea Duniani.
Ndani ya KUSUDI Kuna FULL PACKAGE!
NOW I CAN SEE WHERE I'M GOING!
MATTER OF TIME! 😁
Lengo kubwa la Mungu kukuleta Duniani ni kulitumikia KUSUDI LAKE.
Lengo kubwa la sheteni katika Maisha yako ni kukuletea VIKWAZO na HOFU ya kufikia Lengo la MUNGU.
Hivyo, KUSUDI la Mungu ktk Maisha hayafikiwi KIRAHISI, unless umeshikamana vyema na MUNGU.
Ijue SIRI hili leo 👇🏾
Ahsante MUNGU kwa kujibu hili. Hakika wewe ni MWAMINIFU sana.
Ila bado lile LINGINE, ninakusubiri UDHIHIRISHE Ukuu wako, huku nikiendelea kukushukuru. 😊🙌🏾
Amen 🙏🏾
Watu wanaamini kuamka kesho, ila hamwamini yule ATAKAYEWAPA Uhai wa kuamka kesho.
Wanaamini NGUVU na AKILI zao, lakini hawamanini aliyewa hivyo mwilini mwao
Mungu yupo sana, Plan zake sio plan zetu, Akili zake HAZICHUNGUZIKI
Hajibu Maombi yako kwa namna unavyota, Bali ATAKAVYO
Hata pale Unapohitaji nguvu ya Mungu kutatua shida zako, unapaswa kukumbuka kwamba nguvu ya Mungu haiji kwa haraka tu, bali kwa imani, uvumilivu, na unyenyekevu wa moyo 🙏🏼.
@kairagujuspeed Ahsante sana kwa neno la kutia moyo na ushirikiano. Tutaendelea kuziishi zama za teknolojia ya kidigitali na kutumia fursa hii kuwasiliana na kuwa karibu na jamii 🇹🇿
Respect to Bish. Kabigumila and Hon. Dorothy Gwajima for their outstanding humility and openness on social media. The way they interact, reply, and engage with people is rare and inspiring. I see this as a remarkable character that sets them apart as true leaders.
🙌@Dr_DGwajima