Mama yako akikwambia jambo baya kuhusu Baba yako mwambie Sawa Mama nimekuelewa kisha achana nalo nenda zako lipuuze.
Baba yako akikwambia neno baya kuhusu Mama yako mwambie, Baba lakini wewe ndio umemlea mama kuwa hivyo alivyo. Ikiwezekana mlaumu
"Niambie nifanye nini hili unipende?"
Kama unatuheshimu washikaji zako, tafadhali usiandike text ya aina hii kwa mwanamke wako..
UTATUKWAZA SANA BICHWA
Heshima ya mwanaume inalindwa na mwanamke haijalishi una hadhi kubwa kiasi gani, ukipata bahati mbaya ya kuwa na mwanamke anaevuja maneno, asiekuwa na busara ya lipi zuri lipi baya inakuwa ni swala la siku moja tu, vitu vyako vyote ulivyopambania vinaishia matopeni