@SportsarenatzTz Edo tulimua unfollow kwakua hajawahia kutoa uchambuzi wakutua akili hata siku moja bado nawewe unamleta tuone tarifa zake wewe Kama huna content Hadi utuletee hao useme tukuunfolow wengine tunaaleji za akina kumwembe.
@SafariMlevi Leo umeamua uweke maisha halisia ya Watanzania wengi umechoka ku igiza maisha ya mitandaoni kila siku Nyama rost ., Piza, Birian, Makange ya kuku sato wakubwa nk. Ukija kwenye uhalisia watu tunakula Bamia,nyanya chungu na Midagaa kila siku. Leo nimekuelewa
@PKishamba Mwambie aache Shobo yeye Ni Msemaji wa Yanga asiisemee Simba inamsemaji wake. Kama viongoz wazuri Timu ingekuaje mbovu? Kwani hiyo Timu imejisajil yenyewe? Wangekua wazuri wangesajil Timu nzur Kamwe acha usenge Simba haikuhusu we semea Yanga huku Kuna msemaj.