Nimezaliwa upya asante Mungu kwa uzima, wazaz na ndugu na jamaa kwa ushirikiano wenu๐๐๐, sema mwaka huu bora nsingezaliwa nikasubiri mwakani๐๐๐ nimekutana na wahanga wa mirinda na fanta hata party hainogi bila soda๐๐๐ฅ
@KumbushoDawson Kama unawaza kutaftiwa siku zote mtegemea cha nduguye hufa maskini usipoenda shambani kwako kulima unasubiri kwa jirani yako utakufa njaa siku jirani yako akifariki