Women will go to hell, dem ananitext anataka urgent money namtumia thao mbili 6hrs later napata notis ya snap kuview dem ako club na mzinga zimejaa kwa meza, na akani block nisiview her ig stories akidhani sijaona, sai nikama nachizi my earn hard money
Msichana mwenye nilikuwa naona she might be the one tuliachana last month. Mahali imefikia ni kujikubali nilivyo na nifocus na hii pesa kwanza. Nilisikia with money hata sura hawataki kuangalia siku hizi.
lakini hii obsession millenial hukua nayo na kupata watoto ni gani ...mwingine hapa anaambia arif wake ati aongeze mtoto wa nne akue amebalance side yake na pia ya bibi
kwa novel ya crime and punishment by Dostoevsky kuna one stupid comrade called Raskolnikov, huyusew ni one brokie depressed and dirty mf, after kuuza watch alipewa na mzae mans instead of buying food anaenda kukata .