Kuna muda maisha yatakupitisha katika nyakati ngumu sana.
Nyakati ambazo utaona mwanzo wake tu ila mwisho hauonekani. Zitadumu ndani yako, utahisi ndio mwisho wa kila kitu.
Ni kipindi ambacho bila Mungu huvuki na Mungu hufanya nyakati hizi kuwa Mwanzo wa mambo makuu tusiyotarajia. 🧎🏽♂️
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.
Kaka, kuna siku utacheka ukikumbuka jinsi ulivyokuwa unalia. Trust me. Life hubadilika kama bei ya mafuta—leo juu, kesho chini. Endelea kusonga mbele. Kiza kitaondoka, jua litachomoza!
Starlink Mini offers fast, reliable internet on the go—great for traveling, camping, exploring, boating, RVing, and more.
Stay connected without dead zones or slow speeds.
Order online in under 2 minutes.
Eeh Mwenyezi Mungu, nisaidie kushinda yale yanayoniweka mbali nawe. Ninaogopa, lakini naamini Wewe ni pamoja nami.
Nijaze tena kwa neema yako.
Amina 🙏🏼.