RAS Dodoma Ndg Ally Gugu ameendesha kikao cha Kamat ya Usimamiz Mradi wa Kuboresha Huduma za Afya ya Uzaz na Mtoto unaofadhiliwa na Korea kupitia Shirika la KOFIH (2021-2026) ktk Halmashaur za Kongwa na Mpwapwa unafadhil majengo ya uzazi,vifaa tiba,Ambulances,mafunzo kwa Wahudumu
CONGRATULATIONS👏🏻💪🏽
✅Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Gift Msuya leo Dec 16, 2023 ametunukiwa shahada ya Uzamili ya Fedha na Uwekezaji (Master of Science in Finance and Investment) wakati wa sherehe ya Mahafali ya 49 ya Chuo cha IFM Campus ya Dodoma

RC Senyamule akiambatana na Ndg. Ally Gugu RAS wa Dodoma wamefika Kijiji cha Katesh Wilayani Hanang' Mkoani Manyara kushirikiana na wananchi wa eneo hilo kurejesha hali ya mazingira yaliyoharibiwa na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyotokea kijijini hapo tarehe 3 Dec 2023
RC Senyamule amefika Kijiji cha Katesh Wilayani Hanang' Mkoani Manyara na kukabidh msaada wa mahitaji ya kibinadam kwa majeruhi wote na familia zilizopoteza wapendwa wao kufuatia mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyotokea kijijin hapo tarehe 3 Dec 2023 na kuleta madhara makubwa
RC Senyamule leo amefika Kijiji cha Katesh Wilayani Hanang' Mkoani Manyara kuwajulia hali na kuwapa pole majeruhi wote na familia zilizopoteza wapendwa wao kufuatia mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyotokea kijijini hapo tarehe 3 Dec 2023 na kuleta madhara makubwa
Ofis ya Rais-TAMISEMI imetoa Tuzo maalum ya Pongezi kwa Mkoa wa Dodoma kupitia Halmashaur za Kongwa na Bahi kwa kuibuka mshindi kati ya Mikoa yote ktk kusimamia vizuri ujenzi wa miradi ya shule mpya za sekondar chini ya Program ya SEQUIP kumaliza kwa wakati na viwango bora kabisa

WAZIRI MKUU MAJALIWA: VYUO VIPYA 3 VYA WATU WENYE ULEMAVU KUJENGWA RUVUMA, KIGOMA NA SONGWE - Serikali imeanza ujenzi wa vyuo vipya vitatu vya ufundi stadi na marekebisho kwa watu wenye ulemavu ili kuimarisha ustawi wa jamii ya watu wenye ulemavu nchini.
#Sikuyawatuwenyeulemavu
SIKU YA UKIMWI DUNIANI: WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUPIMA VVU - DC Kongwa Mhe. Remidius Emmanuel ametoa Rai kwa Vijana ,Wanawake,Wazee hususani Wanaume, kujitokeza kwa wingi kupima virusi vya UKIMWI (VVU) kwenye vituo mbalimbali vya Afya.
#SikuyaUKIMWIDunianiDodoma
NW Viwanda Biashara Exaud Kigahe amezitaka Taasisi zinazosimamia biashara na uwekezaji kuwawezesha wafanyabiashara kuwekeza kutokana na fursa zilizopo ktk Mkoa wa Dodom kama kama madini, kilimo, Mifugo, Utalii, Majengo na viwanda. #KongamanoJiongeze ni zamu yako
#Wasafi,RCDodoma

Matokeo ya Tanzania HIV Impact Survey (THIS 2022/2023) yameonyesha maambukizi ya UKIMWI kwa Mkoa wa Dodoma kuwa 3%. Utafiti kama huo wa mwaka 2016/2017 kiasi cha maambukizi kilikuwa 5%. Mkoa wa Dodoma umeweza kupunguza kiasi cha maambukizi !!!!
Taasisi ya Wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma imemkabidhi RC Senyamule Tuzo maalumu ya kutambua mchango wake wa uongozi katika Mkoa wa Dodoma na pia katika kupinga na kupambana na Ukatili wa Kijinsia na ukatili wa aina mbalimbali
#siku16zakupingaukatili
WAZAZI/WALEZI WALINDENI WATOTO DHIDI YA UKATILI:RC Senyamule amewaasa wazaz/walezi kuwajengea watoto uwezo wa kujitambua,kujilinda dhid ya hatar ya ukatili kijinsia,matukio ya unyanyasaji,pia kuchukua hatua zote stahiki za kuwalinda watoto dhidi ya ukatili
#siku16zakupingaukatili