Leo nilipata nafasi kufika Muhimbili, Wodi namba 14 ( KIBASILA) nimekutana na mgonjwa anatakiwa kuongezewa 4 units za damu, leo anamaliza wiki toka ameletwa na amefanikiwa kuwekewa unit moja pekee.
Kuna Upungufu mkubwa wa Damu
#Changia_Damu_Okoa_Maisha ๐ฉธ๐
@BracuszCadabra Huyu ukiacha poor defensive structure, lakini kwenye 1v1 mala nyingi wakikutana na Giant team ndo upande rahisi zaidi kwa mpinzani ๐
๐จ๐บ๐ฌ Understand Simba SC are seriously monitoring Usama Arafat Kizza(but not only name on the list)
Fadlu Davids wants a left-footed winger with pace, and Kizza fits the profile. ๐ดโจ
Heโs considered a top talent with big potential.