CHADEMA iko ktk mioyo ya watu. Trust me , wewe Chaliii , ipo siku unaweza kuja kushtuka… hata wife wako anachangia TONE TONE.
Mwambie asikae nje ya game.
Mpe namba hii shemeji 👇MPESA: CHADEMA HQ 0744446969
Mwambie pia kila tone lina maana.
Sijawahi kufanya video kwa ajili ya Chadema hii ndio ya kwanza.
Chadema tunaomba msituangushe kwenye hili. Watanzania tumezika watu kwa ajili ya haki sio kwa ajili ya Lissu kutoka ndani au kwa ajili ya Chadema kufanya siasi.
Benin washamaliza kazi huko !
Eniwei sisi Mungu katupangia tumalize wananchi maana #WenyeNchiWananchi
Mkono wa Mungu uko juu ya Tanzania 🇹🇿🙏🏽
#D9Tunatoka
Financial literacy ni muhimu sana kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi. Just imagine kijana ana make deal anapata 1 Billion Tsh , ananunua G Wagon 700M na so other liabilities. Mwingine , the same amount of money ananua hisa/bond , let’s say appreciation yake ni 12% kwa mwaka + compounding interest. Baada ya Miaka 5 , G Wagon itakuwa imeshuka value kwa asilimia 60% up to 70 % wakati huo aliyefanya investment itakuwa na ongezeko la the same 60 /70 % or more , mmoja pesa yake ilikuwa inaongezeka na mwingine alikuwa anazunguka na gari kuishusha thamani maeneo ya Masaki na Mlimani City.
Haya mawazo yamekuwa serious this morning , kwani kuna siku nilinunua kuku nimchinje , mambo yakawa mengi nikasema nitamchinja siku moja, nikamuacha , sasa akataga, akatotoa na vifaranga , sasa sio kuku mmoja tena , wkt natafakari nikaona chupa ya perfume kwenye dustbin , nikasema unajua hii perfume thamani yake that day ningenunua kuku 33. Anyway naaminI ktk maisha bora na mazuri , lakini our obstacles sometimes ni ktk FINANCIAL LITERACY. Tufikirie Pamoja. Nafikiri Reforms Zinahitajika pia zaidi ktk mindset zetu.