Top 10 ya Matajiri wote Barani Africa walianza kutengeneza mifumo ya kupata cash flow kabla ya kuingia kwenye ununuzi wa HISA za makampuni, halafu unakutana na kijana hana hata umiliki wa mashine ya kukamulia Juice ya miwa ana paparikia HISA. Ni ugeni au ukosefu wa elimu sahihi?
Uhuni ulianza zaman๐งต uzi
โKuna namna baadhi ya watu kwenye Biblia walikuaga miyeyusho sana! ๐
Ukisoma story ya Laban na Yakobo, utagundua kuwa utapeli haujaanza leo.
Kulikuwa na mzee mmoja anaitwa Laban, huyu mzee alikuwa mastermind wa michongo.
KANUNI YA IMANI.
Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wa mbingu na dunia; na kwa Yesu Kristo Mwanae pekee, Bwana wetu, aliyetungwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka kutoka wafu, akapaa mbinguni; ameketi kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu Katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili, na uzima wa milele. Amina.
Siku zote mwamvuli hauzuii mvua,Bali unatupa ujasiri wa kutembea kwenye mvua.
Ndivyo ilivyo kwa pesa haizuii matatizo Bali inatupa ujasiri wa kukabiliana na matatizo.