Anasema Mtume (S.A.W)
Tofauti baina yetu na wao ni swala Mwenye kuacha swala amekufuru.
Ikiwa wewe ni miongoni mwa wenye kuswali basi sema Alhamdulillah,
Na ikiwa wewe sio miongoni mwa wanaoswali, Basi sema Mwenyezi mungu niongoze mola wangu
Wala usijifaharishe