Wadau nyie nendeni tu kanisani; kuna sisi wazima-moto, tunaosubiria kutubu siku ya kufa... Kama yule Muungwana wa kwenye Luka 23:42-43 aliyeenda Paradiso na Yesu.
“Siwaombi Majaji chochote!mtakachoamua, msiamue kwa huruma. Muamue yote kwa haki na kwa mujibu wa viapo vyenu. Msinihurumie na sihitaji huruma yenu nahitaji muamue kwa haki.”
Tundu Antipas Lissu
11 Septemba 2025
Mahakama Kuu D’Salaam
DUNIA INAHITAJI UPONYAJI DUNIA IMEKOSA MUELEKEO DUNIA HAITENDI HAKI TENA, MUNGU TUREHEMU SISI NI WAJA WAKO HATUJUI TUTENDALO TUNAOMBA UTURUDISHE KWENYE MISINGI YAKO AMEN.
DUNIA INAHITAJI UPONYAJI DUNIA IMEKOSA MUELEKEO DUNIA HAITENDI HAKI TENA, MUNGU TUREHEMU SISI NI WAJA WAKO HATUJUI TUTENDALO TUNAOMBA UTURUDISHE KWENYE MISINGI YAKO AMEN.
Heri ya Kuzaliwa Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti @HecheJohn.
Kwa muda mfupi umeonyesha utulivu wa hali ya Juu na ukomavu katika majukumu yako.
Mungu aendelee Kukulinda na Kukusaidia Kukiongoza chama chetu katika wakati mgumu na wa kihistoria katika siasa za nchi yetu.
Stronger together na kwa pamoja tunaweza.