#ZIMBABWE: BUNGE LA ZIMBABWE KUJADILI MSWADA WA KUMUONGEZEA RAIS MUHULA
Bunge la Zimbabwe leo linaanza mjadala kuhusu mswada tata wa marekebisho ya katiba unaopendekeza kuongeza muda wa Rais Emmerson Mnangagwa na wabunge kwa miaka miwili zaidi baada ya muhula wa sasa kufikia kikomo.
Pendekezo hilo limeibua upinzani mkali, wakosoaji wakisisitiza kuwa ni kinyume cha sheria na linahitaji kura ya maoni ya kitaifa ili kuhalalishwa.
Baadhi ya wabunge wamedai wanakabiliwa na vitisho, hali inayoongeza mvutano ndani ya mjadala.
Miongoni mwa vifungu vinavyopingwa ni pamoja na kuruhusu bunge kumchagua rais badala ya wananchi.
Hata hivyo, kamati ya pamoja ya bunge imesema zaidi ya asilimia 99 ya maoni ya umma yaliyokusanywa yanaunga mkono mapendekezo hayo.
Changamoto za kisheria zilizowasilishwa wiki hii zinasisitiza kuwa marekebisho yanayohusu muda wa rais hayawezi kupitishwa bila kura ya maoni, jambo linaloweka bunge katika njia panda kati ya shinikizo la kisiasa na misingi ya kikatiba.
@TheRealJongwe@Homelunduno Anajidanganya Putin anataka uamue kama ni Urusi basi Urusi na kama unataka pia vya magharibi hana mpango na wewe hata kama hajakuonesha kwa vitendo.
Na kama magharibi wakiamua kufanya mission ya kumnyakua huyo Putin hana uwezo wa kuwazuia.
@EmbassyofRussia Ina maana ubalozi wenu haumjui huyo ni nani na Watanganyika wanamuonaje?Mbona mnasifika sana Kwa ujasusi?
Ndani ya siku tatu toka Oct 29-31,2025 ameua Watanganyika zaidi ya elfu kumi(10,000).
Russia ni wataalamu sana wa kuua wapinzani wao Kwa sumu.Hili ni wazi,hiyo safari imebeba watuhumiwa wa mauaji na wengine ndio walioingiza silaha zilizoua Watanganyika. Je wamefuata sumu za kuulia wanaowapinga?Ndani ya miezi sita Toka watakaporudi tuwaangalie vizuri na kulindana.
Samia, umemuuwa huyu mama na mtoto wake tumboni kwa risasi. Watoto wake hawana mama; mume hana mke.
Wewe na familia yako mnazurura Russia kuuza rasilimali za umma ili mhakikishiwe ulinzi na udaktari wa upuuzi kama kifungashio.
May U never know peace!
RIP Mama!
Huo utetezi wa mauwaji mlioandaliwa na scammers wa Nigeria mkienda nao mahakamani Samia atasokotwa na kunyongwa kabla jua halijazama.
Mauwaji ya ndugu zetu zaidi ya elfu 10 hayawezi kufanyiwa mzaha hivi.
Samia na watu wake wote LAZIMA awajibike!
Oktoba 29 kuna Jaji wa Mahakama Kuu alikamatwa na kuwekwa ndani na mapolisi wakidai ameandamana.
Alinusurika kupigwa risasi, baadaye kaachiwa.
Jaji Mkuu hayaoni haya masuala muhimu.
Amejiteuwa kuwa kiranja wa maadili ya Gen Z kumlinda Jaji Kiande.
Tuna shida sana!
Maziwa makuu
Huyu Wanu Hameir Hafidhi ni Analazimishwa tu kuwa kiongozi
Ila sidhani kama tangia Shule ya msingi ashawahi kuwa hata Montress wa Darasa
Sidhani kabisa
Repost 560