Maarifa sahihi hujenga msingi imara wa kiroho na maisha.
Vitabu hivi vitakusaidia kukuza ufahamu wako wa Neno na kulitumia kwa ufanisi katika maisha yako ya kila siku.
📞 Wasiliana nasi: 0624 816 046
🌐 Tembelea: https://t.co/UZJR5iDhAC
Karibu ujipatie nakala yako leo!
GOOD NEWS! 🥳
Tanzania 🇹🇿 declares the end of the #Marburg virus disease outbreak today!
No new cases have been recorded in the country over the past 42 days.
“It is time for academics, especially young people, to awaken from this endless slumber and shed
these mental shackles. We can still achieve the Africa we envision. @Mlay_GE https://t.co/8mDVlLMnHj
“Taa zilizowashwa hapo kwanza na waasisi wa bara letu katika juhudi za ukombozi wa bara letu katika minyororo ya utumwa,unyonyaji na ukandamizaji zimeanza kuzimika na hakuna anayejali” @Mlay_GE https://t.co/J1FINQ3Gyr
“Hamu yake imezidi, ashki si kawaida,
Kujikaza sina budi, isije kuwa ibada,
Nikiongeza juhudi, mtaipata shuhuda,
Moyo unaugulia, ugonjwa umejipata.” @Mlay_GE https://t.co/gfrMoFeptj
“Hamu yake imezidi, ashki si kawaida,
Kujikaza sina budi, isije kuwa ibada,
Nikiongeza juhudi, mtaipata shuhuda,
Moyo unaugulia, ugonjwa umejipata.” @Mlay_GE https://t.co/gfrMoFeptj
The Ruvuma Health Summit (RUHESU) is a significant scientific initiative that will bring together healthcare professionals, stakeholders, and community members on 09th November 2024 to engage in scientific activities, discussions, awards ceremonies, and an exhibition.

Watu hua wanadiss sana watu ambao wameokoka, Sema one of the best decision kijana unaweza ukafanya ni hili la kuokoka.
Utapoteza marafiki yes, unaweza chukiwa na watu au kutengwa na ndugu yes, ila your life will never be the same.
Usisikilize watu ambao waliokoka na kurudi nyuma kwa sababu zao.
Usisikilize wale ambao wanakwambia ukiokoka maana yake umeanzisha vita na shetani. Wao shetani wanamjua?

Rafiki yangu na classmate wangu @Mlay_GE ni Mtunzi mzuri wa mashairi, ametuandikia shairi lililojumuisha safari ya miaka 5 Kwa beti 12 tu . Hakika utafutiwa na mashairi Haya 👇👇👇