@Nnauye_Nape Hapa hakuna madai ya Katiba mpya katiba pendekezwa ipo Nadhani Kichopo kwasasa Nikuandaa Sheria ya Kura za Maoni ili watanzania Waende Wakapige Kura Kuipitisha Au Kuikataa.
HAPO NDIO TULIPOISHIA TUANZIE HAPO
MTANDAO WA SIM WA TIGO UMEKUA NITATIZO SANA TCRA ELEKEZENI MACHO YENU HAPO.
Leo hii Tigo Pesa Hazifanyi kazi watu wanafanya Biashara kulitia sim wanapata hasara ambayo tigo Hawawezi Kutifudia
@fatma_karume SHANGAZI VIME UNGETULETEA MUUNDO WA SERIKALI YA ZIMBABWE ILI TUIFANANISHE NA HII YA ZANZIBAR MAANA HII YA ZANZIBAR SI NGÈNI KWETU TUMEISHA ISHILIKI NA CHAMA HAKIKUFA
Niliwahi kusema kama Kuna Mtu Aliweka ahadi yakufia ndani ya Chama Cha CUF.
NIKASEMA CUF ITAKUFA KABLA YA YEYE HAJAFA TAZAMA PICHA YA KIKAO CHA CUF PEMBA LEO HII
KILA HATUA NAMTANGULIZA MWENYEZI MUNGU.
Leo Tarehe 21/05/2020 Nimerudisha Fomu yangu ya Kutia nia yakugombea Nafasi ya Ubunge Jimbo la Segerea.
MAPAMBANO LAZIMA YAENDELEE