Zaburi 37:25 25Nilikuwa kijana na sasa ni mzee;
kamwe sijaona mwadilifu ameachwa na Mungu,
au watoto wake wakiombaomba chakula.
Ni asubuhi njema karibu kwenye #BarakaZaMilele Hapa @Milele_FM ukiwa naye @MmboneMercy1 . Unanyakua baraka ukiwa wapi?
Tambua njama zake na usimame kukemea hayo mawimbi kama vile Yesu alivyofanya, ni muhimu uvuke sababu baraka zako ziko upande huo. Tukutane Galilaya! @EvahMwalili@Milele_FM#BarakaZaMilele
#NenoLaLeo...DHORUBA ISIKUZUIYE KUVUKA! Marko 4:35-38
Jioni, siku hiyohiyo, Yesu aliwaambia wanafunzi wake, "Tuvuke ziwa, twende ng'ambo." Basi, wakauacha ule umati wa watu, wakamchukua Yesu katika mashua alimokuwa. Palikuwapo pia mashua nyingine hapo. #BarakaZaMilele
#AlexNaWilbrodaMilele salamu ni kwa Fredrick Likuyani Manager NG CDF shinyalu, Edward Ashitiba akiwa Embakasi, George Sotsi my workmate,Iris Sagali na wananchi wa Isukha North ward kambiri
Salamu ni kwa Fredrick Likuyani Manager NG CDF shinyalu, Edward Ashitiba akiwa Embakasi, George Sotsi my workmate, Iris Sagali na wananchi wa Isukha North ward kambiri #AlexNaWilbrodaMilele
#AlexNaWilbrodaMilele salamu ni kwa Fredrick Likuyani Manager NG CDF shinyalu, Edward Ashitiba akiwa Embakasi, George Sotsi my workmate, Iris Sagali na wananchi wa Isukha North ward kambiri