Born Marangu|| Agronomist(soil scientist)๐ฑ๐ฑ|| Sokoine University of Agriculture Alumni๐งโ๐๐||Yanga|| Graphics designer || ๐๐๐ธโ๐ธโ๐พ๐โข founder.
โผ๏ธ๐จTAARIFA KWA UMMA.โผ๏ธ
19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja.
Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa โkufanya fujoโ katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S. Mtatiro ni;
1. Masele Bahati Lubongeja
2. Raphael Henri Masangwa
3. John Charles Mashenene
4. Zephania Lugwisha Maduhu
Hukumu hii ni mwendelezo wa mbinu za kukandamiza sauti za mabadiliko na kuwatisha wananchi wanaosimamia haki zao za kiraia. Tena akifanya mtu aliyewahi kuwa mpinzani wa CCM.
Wakati chama kikijipanga kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kukata rufaa katika hatua inayofuata; Tunamuomba kila mpenda haki, Watetezi wa haki za binadamu ndani na nje ya nchi;
Kuchangia kiasi chochote ili kuwalipia faini wenzetu, kwa kila mmoja kiasi cha Tsh 300,000. Wanachama wanne (4) Jumla kuu ni Tsh 1,200,000. Tunaonyesha SOLIDARITY dhidi ya wahuni.
Jinsi ya Kuchangia:
M-Pesa Namba: 0764 662 049
Jina: CHADEMA KANDA YA SERENGETI
Nowdays uki-mess tu na raia, kila mtu anakuombea baya likukute na wote wanakua upande wa adui yako.
Imagine leo waafrica wengi wanashabikia Mexico na wanataka Mzulu ashenyetwe!!
โMsimamo wa mwanadamu haupaswi kuwa gereza la dhamira yake.
Kuna nyakati ambapo ukimya huwa mzigo kuliko maneno.
Sidai kuwa mimi ni mkamilifu, lakini nimeamua kutii dhamira yangu kuliko kuigiza consistency isiyo na ukweli. Si busara kushinikizwa kuonyesha โuanaume wa kisiasaโ kwa kubaki sehemu ambayo dhamira yako haiwezi tena kutuliaโ
Kazi anayofanya
Heche na Lema wakisindikizwa na kina Boni na Martin hawa watu hawa aisee yaan
Unaweza ukachukua miaka na miaka unamheshimu mtu weee ukaendelea kuchunguza yaan ukachunguza wewe
Unakuja kugundua kwamba heshima uliyowapa kwa muda mrefu walistahiri kupewa kabisa Hiyo heshima ni wa kuogopwa sana narudia ni watu wa kupewa heshima mno
Mtu anasimama kuhutubia utadhani ni Nyerere Mpya au Mandela,
Hawa watu ni wa kulindwa kwa Heshima kubwa sana !
Teundelee kufuatilia mikutano Yao na pia kuchangia tone tone kawaida
Tanzania Mpya yajaโฆ.
Mpesa 0744446969
Jina- CHADEMA HQ.
Mpwa wa #MheshimiwaTemba ametekwa kwa zaidi ya siku tatu, huku msanii huyo akikaa kimya bila kutoa tamko lolote. Huu ndio udhaifu mkubwa wa wasanii wazembe wa mbogamboga. Ndugu yake ametekwa, haonekani nyumbani siku zote hizo, hajawahi kupaza sauti kwa kuandika katika kurasa zake huko Instagram au kusema kwa maneno. Baada ya kijana huyo kupatikana ameuawa kinyama, akiwa amekatwa kichwa na mwili wake kutupwa mtoni, ndipo Temba anaibuka na kuandika: โMungu yupo, atatenda miujiza.โ Mungu hamsaidii asiyejisaidia: Huwezi kusubiri majanga yafike mwisho ndipo upaze sauti. Hakuna aliye salama. Ni lazima sote tusimame kidete na kukataa katakata vitendo hivi vya UTEKAJI na mauaji ya kinyama.
AINA TATU ZA WANAUME
Kwa nini unataka kumuoa?
โข MPUMBAVU:
Namuoa kwa sababu nampenda sana
Huyu manzi anayajua mapenzi.
โข MWANAUME ALIEISHA KABISA
Nataka kumuoa kwa sababu ya muonekano wake.
Ana umbo zuri na kifua kilichojaa.
Namuoa kwasababu nilikutana naye kanisani.
โข MWANAUME MWENYE HEKIMA:
Namuoa kwa sababu ananiheshimu na kunitii.
Namuoa kwa sababu ni binti mdogo, mwenye asili ya kike, na ni bikira.
Namuoa kwa sababu anaweza kuwa mama bora kwa watoto wangu.
WEWE UPO KUNDI GANI?
Kwa wapenzi wa Chadema Tanzania nzima , huu ni wakati wa kuonyesha umoja wetu
Hali tuliyokuww nayo wote tunaijua
Kama mfumo umekufanya uote hii twit Tafadhali ritwit ifike mbali
Repost 990
Hongereni sana Chadema. Sasa kazi ipigwe mpaka wapaniki tenaโฆโฆ..
Tunachokitaka kwenye nchi yetu ni haki, haki ya wananchi kuchagua madiwani wao, wabunge wao, Rais wao na chama chao. Tunataka haki ya uchaguzi huru na wa haki.
HAKUNA AMANI BILA HAKI. HAKI KWANZA AMANI ITAFATA YENYEWE!!!!
#TajiriLaKihaya
Huyu HAJI MANARA walimpa utangazaji hapa Wasafi Radioโฆ
Kwa vigezo gani??
Haya mahojiano na MAKAMU WETU HECHEโฆ kayafanya Vibaya mno!
Ameshindwa kuficha UCCM wakeโฆ Tafikiri ni DEBATE๐
Jamaa kawa mtetezi wa serikaliโฆkila point ya Heche anapingaโฆ
Uzuri heche kampa Elimuโฆ maana ameonesha leo ni mtupu saana kichwani!
Dr. Rugemeleza Nshala anasema leo akiwa anafanya kazi zake alipigiwa simu na mtu alijitambulisha kuwa ni karani wa mahakama akamwambia kuwa ana uamuzi wa kesi ya CHADEMA na inabidi amsomee ndani ya muda mfupi. Ikabidi Dr Nshala awasiliane na viongozi wa chama wakaenda kusikiliza.