Nimeshtushwa sana na Taarifa za kushambuliwa kwa Father Dr Charles Kitima.
Hii ni vita ya Giza dhidi ya Nuru. Ni vita ya waovu dhidi ya,Wema vita ya dhuluma dhidi ya haki.
Ninafuatilia habari hizi na kamwe hatuta pigia magoti uovu.
Angalieni mnavyo washauri vijana wenu kujibu mahubiri ya MAASKOFU. Haki na Kweli haina DINI. Mtaligawa TAIFA hili kwa ujinga mkubwa unaoendelea. Endeleeni.