You can change the way you feel by changing the way you think./...
.
#. Trust your path and keep moving forward #
Dar Young Africa π° and Chelsea's fan
@RashdaZunde Wajinga wamebak kwa wajinga wenzao,.... Mtaji wa CCM ni kwa watu wajinga, na kiwango cha wajinga kinapungua sana. Propaganda hizi hata wa Facebook huwezi wapata... Kama si juhudi za kuwatisha basi Chama chenu hakina mwendo
@daktariwawatoto Aliachwa ili asaidie kutumika katika harakati za kumshawishi Ayubu amkane Mungu wake,.... Ndiye aliyekamshawishi amkane Mungu ili mateso yakome...