@mshambuliaji Katiba irekebishwe kuwepo na kipengele Cha kuwafuta uanachama watu ambao wanaonekana kuwa mrengo wa kushoto na timu, hususani Kwa wazee wa pankanwa
Shukrani kwa Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wetu wa jana dhidi ya Namungo FC🫡🔰
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko