@faraojuu@officielsalome Na wakiambiwa ukweli Kama hivyo hawakubali moja kwa moja huzaniwa wanaume tu kumbe wawakilishi wa wanawake wengine wapo wengi mf.mzuri madada poa
@officielsalome Usijaribu maana utapata laana ya milele mpaka utajioa๐๐ maana itakuwa unaongozwa na tamaa ya kuwahi kuolewa. Wakati wa Mungu hauwahi Wala hauchelewi lakini Ni wakati sahihi. Subira Ni msingi wa kesho yako