Siku tutakayokufa, hatutaitwa tena kwa majina yetu. Watasema, “Leteni mwili” au “Shusheni mwili kaburini.” Jina hubaki nyuma. Hivyo, tuishi kutafuta ridhaa ya Muumba, si sifa na makofi ya viumbe.
🔵🫂 Erling Haaland for Pep Guardiola…
“A coach who never stopped teaching. It sounds crazy to say this, but you made greatness feel normal”.
“Even after hat-tricks, wins and trophies, there was always another lesson, another challenge and another level to reach. That mentality changed this club forever and changed me too. The honour of a lifetime to work with the best. Thank you for everything, boss”.
@eli_njex@Wakazi Mopao ni sumu ya nge baba, achana nabisa na hii maneno, amepiga ngoma na babu, baba, blna sasa anapiga na vijana, na nnavumyomuona anawezakujapiga na mjukuu maamae, wa moto le kuliko jana, mopao ni chuo cha rhumba mzee, kwa sasa ndo balozi wa rhumba duniani🙌🙌
Sheikh Faisal Nouman, Muadhini wa Msikiti wa Mtume (Masjid al-Nabawi) nchini Saudi Arabia, amefariki dunia leo baada ya kutumikia kwa uaminifu kwa kipindi cha miaka 25.
Aliteuliwa rasmi mwaka 2001, na amezikwa asubuhi ya leo katika Makaburi ya kihistoria ya Al-Baqi mjini Madinah baada ya Swala ya Alfajiri.
Sheikh Faisal alitokea katika familia yenye vizazi vya waadhini, na akaendeleza kwa heshima kubwa urithi wa kifamilia wa kuwaita waumini kwenye Swala.
Adhana yake ya mwisho aliitoa tarehe 2 Novemba, ikibaki kuwa kumbukumbu ya mwisho ya sauti yake yenye unyenyekevu na ikhlasi. Babu yake na baba yake pia waliwahi kuwa waadhini katika Msikiti wa Mtume, ambapo baba yake alianza kutumikia akiwa na umri wa miaka 14.
Urithi wa Sheikh Faisal Nouman utaendelea kukumbukwa kwa uaminifu, mwendelezo wa kizazi, na huduma ya kiroho katika mojawapo ya maeneo matukufu zaidi katika Uislamu.
Allah amjaalie Sheikh Faisal Nouman Pepo ya juu kabisa – Jannatul Firdaus. Aamiin.
#KitengeUpdates