Bros,
Wanawake wana sheria na mipaka kwa Mwanaume masikini au asiyempenda.
Ukiwa na kipato na unajiheshimu, au akiwa anakupenda anakuwa na kazi ya kuvunja sheria zake kwa ajiri yako.
Look at your girlfriend mipaka ni mingi au anavunja sheria?
Mipaka ikiwa mingi just know she is not the one.
NEXT HER AND ABORT MISSION.