SIFA YA KIONGOZI NI KUONESHA NJIA.
Shida Ipo....Tatizo ni utayari wa Kukiri na kuchukua hatua.
Tulikuwa na Nyufa sasa Taifa limepasuka kabisa.Tusiendelee kujidanganya kuwa mambo yatakuwa sawa.kwamba mambo yako sawa hapana.Tumevuruga na kuvurugika.
Kama kuna Ukimya wa muda mfupi unao tufanya juona kama kuna ushindi basi ni Ukimya wa Mauti. Mchelea mwana kulia mwisho hulia yeye.
Tulipo sipo na wanakotupeleka siko kabisa.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI vitaliponya Taifa.
Ukiwa Jiji la Mwanza na unataka sehemu nzuri, Tulivu, 3 bedrooms na accessories nyingine muhimu basi tujaribu NYUMBANI LUXE.
Tupo Bwiru, contact us ๐๐ผ
0764344677
Ukurasa wa instagram ๐๐ผ
https://t.co/0n9kkeipirโฆ
Wakarudi nyuma wakafanya maovu kuliko baba zao, kwa kuifuata miungu mingine ili kuitumikia, na kuinama mbele yao. hawakuacha matendo yao, wala njia zao za ukaidi.
Waamuzi 2: 16-19