Yani sijawahi kuona jitu zima lisilojielewa na lisilo na aibu kama hili. Cha kushangaza bado kuna watu wanamshabikia huyu mzee.
NOTE: Usisubiri mpaka yakufike wewe, vaa viatu vya tundu lissu, vaa viatu vya maelfu ya binadamu wenzako waliouwawa October 29th.
Vitabu vya dini vilivyosema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wa juu viliona mbali sana.
Leo hili limama zero brain linapelekeshwa na kikwete, mtu ambae akili zimeshaanza kurudi utotoni.
Hatujamuona mke wa nyerere bungeni, hatujamuona mke wa mwinyi bungeni, hatujamuona mke wa mkapa bungeni, hatujamuona mke wa magufuli bungeni.
Hii familia yenye tamaa na uchu wa madaraka ndio tatizo namba moja kwenye hii nchi. Na anachokifanya bungeni hatukioni.
Bado siku 8 kuelekea #MO29
Maandalizi na kupasha viungo tumeshaanza!
Na mwaka huu hatutakuwa na siku moja tu ya maandamano ni hadi Oct 6 au zaidi maana tunataka Tundu Lissu aachiwe!
Tunadai: Ukweli! Haki! Uwajibikaji!
Hatupoi!
#FreeTunduLissu