@NanjieGalgalo Chipukeezy wachana na yeye mara ya mwisho ataishia kujinyonga ju ukasee na ushamba akonayo na ubaya anaonanga akiwa mjanja kumbe ni yeye anatumika
@KenyanSays Huyu jamaa mimi naishi ruai hakuna kitu amefanya alisema yeye "aliingia na independent party na pesa zake ndio zilimsaidia" sasa tunapanga kumngatua #impeachronaldkarauri
@morarakebaso Inject kabisa na God guide you na if He has choosen utaiwai na ukiipata usikue mjinga kama hii mbogi flani iko sai...kismart nduguu👍🏾💪🏾👊🏾