Alafu wazazi, hizi birthdays huwa mnaleta shule nataka mniskize na mniskize vizuri.
Birthday sio mbaya. Sina shida na cake, balloons ama mtoto kufurahia siku yake. Lakini kabla ugeuze classroom ikae venue ya ruracio, kuna vitu nataka ujue.
Administration hawaezi kataa juu wanataka clients wao wakue happy. Lakini sisi ndio tuko ground. Sisi ndio tunabaki na consequences.
Kwanza, birthday ya mtoto mmoja huleta excitement kwa dakika 20 na drama ya wiki mbili.
Mtoto mmoja akiletewa cake, kesho mwingine anauliza mbona yeye hajawai letewa. Mwingine anarudi home akiwa convinced wazazi wake hawampendi. Sasa mwalimu anajipata akifundisha Mathematics na family therapy wakati mmoja.
Halafu kuna hii tabia ya kuleta cake ya watoto 8 kwa class ya watoto 47.
Unataka tugawanye aje? Hii ni classroom ama miracle crusade?
Na tafadhali msilete balloons 30 kwa class halafu mnataka learning iendelee normally.
Ukiona watoto wakitazama ceiling kama wameona UFO, ujue lesson imeisha rasmi.
Alafu kuna wale wazazi wanafika na photographer, videographer, ring light na confidence ya mtu anazindua bypass.
Brother, ni Grade 2 birthday. Sio uchaguzi mdogo.
Na ukweli wenye hakuna mtu anasema...
Shule si birthday venue.
Shule ilijengwa watoto wajifunze. Birthday ni bonus, sio programme ya siku.
Mkitaka kufanya party kubwa, fanyeni nyumbani, church, hotel ama kwa shamba ya babu.
Juu mwisho wa siku, birthday inaisha saa tano.
Lakini syllabus bado iko hapa ikitusubiri kama deni ya Fuliza.
Sincerely,
Mwalimu ambaye alikuja kufunza fractions lakini akaishia kukata tukwota twingi twa cake sio poa. ๐ท
Kama ukona maoni tofauti yaletee
Credits: Lyn Maina
Wakati wa kufanya dialysis, damu hutolewa mwilini kupitia bomba jekundu,
Hupitishwa kwenye mashine ya dialysis,
Damu husafishwa uchafu wote wa shuhuli za mwili nakisha kuingizwa tena ndani ya mwili kupitia bomba la blue.
Utaratibu huu hurudiwa kwa masaa 4 wakati mgonjwa akiwa ametulia kitandani
Utaratibu huo unafanywa mara 3 kwa wiki, nisawa na mara 12 kwa mwezi.
NA
Kila wakati inachukuwa masaa 4, ambayo ni sawa na masaa 48 kwa mwezi.
Kwa wale ambao hawajaathirika, mchakato huu wa kusafisha damu unafanywa na figo moja kwa moja, mara 36 kila siku.
Ndani ya mwili wako bila jitihada au usumbufu wowote hata wakati unaendelea na shughuli zako.
NB: Mshukuru mungu kwa afya njema, Na uzitunze vizuri figo zako.
Inawezekana wengi Tukawa Tunachukulia Uzima na Afya Zetu For Granted,
Lakini kama Ukipata Muda wa Kutembelea Wodi hata 2 huku Hospitali Ndio Utaona Uthamani na Umuhimu wa Kuitunza na Kuithamini Afya Yako!
JALI SANA NA TUNZA AFYA YAKO!
Nashare haya Maarifa BURE yakusaidie kubadilika
Kwa swali LOLOTE usisite kuwasiliana nami kupitia WhatsApp namba ๐
0620225203
Dr Anidu
Unaamua wacha ukue romantic kidogo udate dame wa ghetto....dame after kumpeleka date anatandika kuku mzima, alafu anapiga soda ya coca cola flush anakuambia " wewe ndie unajua mambo na dates brathe"๐๐
Sahii 8 to 5 babe anauliza her office husband kesho anafeel kula nini for lunch ndo apike Leo jioni alete Ikiwa packed. Mzee Kwa nyumba Hata huwa haulizwi atakula nini, ni kupikiwa mukimo na njahe kama mfungwa.
The 10 African teams have now played at the #FIFAWorldCup 2026 first round:
Wins:
Ghana ๐ฌ๐ญ
Cรดte dโIvoire ๐จ๐ฎ
Draws:
Morocco ๐ฒ๐ฆ (against Brazil)
DR Congo ๐จ๐ฉ (against Portugal)
Cape Verde ๐จ๐ป (against Spain)
Egypt ๐ช๐ฌ (against Belgium)
Defeats:
Algeria ๐ฉ๐ฟ (Poor)
Tunisia ๐น๐ณ (Embarrassing)
South Africa ๐ฟ๐ฆ (Average)
Senegal ๐ธ๐ณ (Didnโt take chances)
Thoughts so far?