Proffessionals in Electrical system inspections, power auditing, HV/MV/LV electrical installation, automation, Solar system, Transfomer and generator setup.
Insulation Resistance Multimeter ni kifaa kinachotumika kupima ubora wa insulation kwenye cables, wiring, motors, transformers na vifaa vingine vya umeme kwa kutumia insulation resistance.
Power Analyser ni kifaa kinachotumika kuchunguza na kuchambua hali ya mfumo wa umeme kwa kufanya vipimo mbalimbali kama voltage, current, power, power factor, energy consumption, harmonics na power quality.
JOIN WITH OUT TRIP
.
Leo tulipata nafasi ya kutembelea site kwa ajili ya maandalizi ya solar installation. Tulifika site, tukafanya assessment na kushauri njia sahihi na salama kulingana na mahitaji ya mradi.
.
Una mradi wa solar au electrical installation?
.
Wasiliana nasi leo
Portable Appliance Tester (PAT) ni kifaa kinachotumika kuchunguza usalama wa vifaa vya umeme, kama vile pasi, jagi la umeme, friji, microwave, computer, printer na vifaa vingine vinavyotumia umeme, kwa kufanya vipimo kama insulation resistance, earth continuity na leakage current
MOECS Engineering tunatumia vifaa vya kitaalamu vya electrical testing, inspection, measurement na fault diagnosis kuhakikisha mifumo ya umeme inafanya kazi kwa usalama, ufanisi na kwa viwango vinavyotakiwa.
.
.
#MOECSEngineering#ElectricalEngineering#ElectricalTesting
Moecs Engineering tukiwa kwenye Testing & Commissioning katika mradi wa shule ya sekondari. Tulifanya kwa uwezo wetu wote kuhakikisha mifumo inafanya kazi kwa usalama, ufanisi na kwa viwango vinavyohitajika.
.
Kila mradi tunaupa umakini unaostahili. Ubora ndio kipaumbele chetu!