@GodemaE Nadhan Kama Transporter ana utaratibu wa kufanya maintenance na repair kwa wakati na sio bahili na anazibebesha gari mzigo kuendana na uwezo wake vile vile madereva wake anawatrain vyema basi P series is the best choice ukiachana na G series.