"Tunachotofautiana ni mawazo tu na fikra, lakini pia mimi sichukulii wapinzani kama maadui, nawachukulia kama watu watakaotuonyesha ni wapi changamoto zilipo ili nizitekeleze ili CCM iimarike," Rais Samia suluhu Hassan
#samiakwanza#Siku1000zaSamia
Majira haya ya kiangazi #India imetua anga lao mwezini. Ni miongoni mwa mataifa makubwa yaliyofanikiwa katika hili. Sasa, walimpa Rais Samia msaada katika kuendeleza programu yetu ya anga za juu. Ni wakati gani kwa #Tanzania
Nani nmemsahau, kama nmekumention usiweke handle yako, nataka wale tu ambao bado, kama nmekumention kazi yako n kuwafollow nikao watag baada ya hii post, like comment na qt rt….twendee
Hongereni vijana wetu wa Taifa Stars kwa kufuzu michuano ya kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (2023 Africa Cup of Nations). Mmeandika historia kwani hii ni mara yetu ya 3 kufuzu tangu kuanzishwa kwa mashindano haya. Nawatakia kila la kheri.
Panga sentensi hii kupata maneno kamili; Mali Mashe.
Shusha comment yako tutaruka nayo kwenye #MamaMia muda huu mpaka saa 6:00 mchana #EastAfricaRadio
Cc; @asheromar @mcritha_chuwalo
Guys ebu subirini kwanza, nimeambiwa wote nilio wemention amna alie fb, kwanza wa unfollow ambao hawaja kufb, pili kama unataka mention na unaahid kuwafb wenzako ndio uweke handle hapo kwenye comment au qt rt….twendeni,
"Kiimani mimi ni mkristo mkatoliki na sijawahi kutiliwa mashaka, sijawahi kukuona Mhe. Rais ukielekeza ukatoliki wetu, ulutherani kufanya mambo ambayo wewe unayataka, katika hilo nakushukuru sana, kama ungesimama kutuelekeza pengine tungekuwa tumepoteza uelekeo"
"Kama kuna mtu Mhe. Rais anasimama kutaka kukuelekeza wewe na serikali yako kufanya vitu ambavyo pengine wao au mtu mwingine anataka yawe hivyo, naomba usimame na kunyoosha kamba kwa sababu utapimwa kwa matokeo, matokeo hayo kama hapa Dar es salaam yanaonekana wazi, usipoteze focus" - RC Albert Chalamila. #EastAfricaTV #RaisSamiaNaPolisi