@Jambotv_ Zungumzia sera za chama chenu uza sera zako. CHAUMA ni CCM ile ile ndiyo maana kila siku ni kuizungumzia chedema.
Ccm ina matawi kama haya hapa chauma, chazambarau na chanyinginezo huko. Hii kifupi ni divide and rule ya ccm.
Kiufupi wananchi wanajua sana hayo.
@MarekaMalili Zunguka kuanzia chanzo cha hayo mabomba mpaka mtaani kama unaona hata kibao kinachoonyesha namba za simu kwa ajili ya watu kupiga pindi hiyo miundombinu inapopata kasoro.
@Towntrip3 Angalia makaa ya mawe yanatoka Rudewa mpaka Dar kwa malori,
Yangepakiwa pale makambako mziko ukafika Dar kwa treni msongamano ungepungua barabarani, lakini huwezi ona hilo likifanyika.
Wanazidi kutuharibia tu barabara zenu kwa kupitisha mizigo ambayo ingeweza kwenda na treni