Utu lazima tuutangulize! Naamini Dr Mpango hajafanya kwa hiari hii press conference na kajikaza SANA! Mlichomfanyia ni UKATILI na any effort βkujibu mapigoβ imebuma! Acheni mara moja kutesa wagonjwa! π π
Naomba familia ya Dr Mpango waingilie kati! Mzee apumzike! Terrible! π