Ni aibu kuona mwili unaooza ukitunzwa kwa uangalifu mkubwa, huku roho itakayoishi milele ikiachwa bila kujaliwa. Tujali zaidi akhera kuliko dunia; tuwekeze katika roho kuliko mwili. #Akhera#Tafakari
Daudi alimwusia mwanawe Suleiman: “Mwanangu, epuka kicheko kingi; kinaweza kukufanya ukose chochote Siku ya Hukumu. Nyamaza isipokuwa unaposema mema. Afadhali ujute mara moja kwa kunyamaza kuliko ujute daima kwa kusema. Ukimya ni dhahabu.”
Ilikuwa ni furaha kuonana na kaka yangu, Eric Shigongo, mwanzilishi na mmiliki wa makampuni ya Global Group.
Tulipata nafasi ya kuzungumza kuhusu uongozi, imani, na umuhimu wa kurudisha kwa jamii. Kadri Mwenyezi Mungu anavyotujalia zaidi, ndivyo wajibu wetu unavyoongezeka wa kuwainua wengine, kuimarisha jamii zetu, na kutumia mafanikio yetu kuleta manufaa kwa wengi.
Ijumaa Kareem. Mwenyezi Mungu azikubali juhudi zetu, atujaalie ikhlasi katika kila tunachofanya, na atufanye kuwa sababu ya kheri kwa wengine. Ameen. 🤲🏽
#jumahmubarak
Siku tutakayokufa, hatutaitwa tena kwa majina yetu. Watasema, “Leteni mwili” au “Shusheni mwili kaburini.” Jina hubaki nyuma. Hivyo, tuishi kutafuta ridhaa ya Muumba, si sifa na makofi ya viumbe.
Africa’s greatest opportunity isn’t exporting more raw materials, it’s building industries that create jobs, strengthen local value chains, and compete globally. That’s the journey we’ve pursued at @MeTL_Group for over three decades, growing into one of East Africa’s largest manufacturing groups and employing over 40,000 people.
I enjoyed sharing these reflections with TIME Africa at Standard Bank’s Africa Unlocked in Cape Town.
#MoAfrica
Siku tutakayokufa, hatutaitwa tena kwa majina yetu. Watasema, “Leteni mwili” au “Shusheni mwili kaburini.” Jina hubaki nyuma. Hivyo, tuishi kutafuta ridhaa ya Muumba, si sifa na makofi ya viumbe.
Siku yenye mazungumzo yenye tija na viongozi wa sekta ya benki na fedha mjini Johannesburg.
Watu wengi huona mafanikio ya biashara, lakini hawaoni kazi iliyo nyuma yake. Kila hatua ya ukuaji hujengwa kupitia mazungumzo, uaminifu na mahusiano ya muda mrefu.
Ukifanikiwa, kazi haiishi. Kadri unavyokua, ndivyo inavyozidi kuongezeka.
A productive day meeting with banking and financial sector leaders in Johannesburg.
People often see the success of a business, but rarely the work behind it. Every stage of growth is built on conversations, trust, and relationships developed over time.
Success doesn’t mean the work is over. As you grow, the responsibility—and the work—only increases.
#MoBusiness #entrepreneurship
Kipindi cha kuzungumzia uwezo wa Afrika kimepita. Sasa ni wakati wa kujenga.
Afrika ya kesho itajengwa na wale wanaothubutu kufikiria kwa muda mrefu, kuwekeza kuvuka mipaka, na kujenga viwanda na biashara zitakazodumu kwa vizazi.
Nilifurahi kushiriki mazungumzo na Bloomberg Television kuhusu nafasi ya sekta binafsi katika kuharakisha maendeleo ya viwanda, kuimarisha uwekezaji barani, na kujenga uchumi wenye ushindani kwa vizazi vijavyo.
The era of talking about Africa’s potential is over. The era of building is here.
Africa’s future will be built by those willing to think long term, invest beyond borders, and create industries that outlast them.
It was a pleasure joining Bloomberg Television to discuss the role of the private sector in accelerating industrialisation, strengthening regional investment, and unlocking the opportunities ahead for African business.
#Mo #Bloomberg
Africa's future won't be built by talking about potential, it will be built by those who keep building.
At @SBGroup's Africa Unlocked Conference 2026, Tanzanian industrialist and @MeTL_Group President @moodewji delivered a powerful message for entrepreneurs, investors and policymakers across the continent.
From "Africa rewards endurance more than perfection" to "Build for people, not markets," Dewji shared hard-earned lessons on industrialisation, value addition, partnerships, philanthropy and building businesses that outlive their founders.
This isn't just another conference recap, it's a blueprint for the next generation of African builders.
Read the full feature and discover why the era of talking about Africa's potential is over, and the era of building Africa has begun
https://t.co/hyMRGzE4Hx
It was a pleasure meeting with the Standard Bank team in Johannesburg.
Our partnership has been built on many years of trust, shared ambition, and a long-term commitment to Africa’s growth. Such relationships are invaluable as we continue investing, expanding, and building businesses that create lasting impact.
My sincere appreciation to Luvuyo Masinda, Chief Executive of Corporate & Investment Banking, Standard Bank Group, for the productive discussions, warm hospitality, and continued partnership.
The future of Africa will be shaped by strong institutions working together with a shared vision to unlock opportunity and drive sustainable growth across our continent.
#Partnerships #MoBusiness
Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji (@moodewji) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori kupata taarifa ya timu ikihusisha usajili wa wachezaji wapya ambapo amemhakikishia kutoa ushirikiano ambao utawezesha kuimarisha kikosi kuelekea msimu wa 2026/27. #NguvuMoja
Kiwango kimoja cha kumtegemea Mwenyezi Mungu ni kumuomba Yeye pekee kwa kila hitaji letu. Kiwango cha juu zaidi ni kumwachia kila jambo, ukiwa na yakini kwamba kwa hekima Yake isiyo na mipaka, Atakupa kilicho bora zaidi, kwa wakati na namna Anayoiona kuwa sahihi. 🤲