Tanzanian social activist, Founder of Sikia sauti founda.And assistant Director of YOWED FOUNDATION.
“am person who works to achieve political & social change.
Wale waliojeruhiwa kwa mateso au utekaji wanabeba makovu mazito sio tu mwilini, bali pia katika kina cha mioyo yao. Kila kumbukumbu inajaa hofu, huzuni isiyoisha, na hisia ya kuvunjika moyo. Wanahitaji uponyaji, msaada na huruma, si dhihaka.
Tunawaonya vikali wale wote wanaobeza
@swahilitimes Sasa akisema alikuwa anaenda kuhubiri injili Kwa vitendo,yaani kuonyesha namna Nyoka alivyomshawishi Eva?! Hapo hauna kesi Labda iwe kesi ya Mali ya sili.
Basi la kampuni ya Premier Line linalofanya safari za Mwanza -Tunduma via Mbeya.limepata ajali usiku wa kuamkia Leo tarehe 26 Jan 25.Ajali hii imetokea maeneo ya Isuna manyoni, kuhusu Taarifa ya idadi ya majeruhi na vifo tusubiri vyombo husika kutupa taarifa Rasmi.
#OKOAMAISHA
Kila kukicha Mapambano unazidi kuleta picha mpya.Mpaka Sasa sijui ni njia gani inaweza kutuliza hii vita.Wafuasi mpaka Sasa hawajui waende wapi. Au ndio #Divide&rule
Busara inahitajika
Wake up, they don't care about the people
Wake up, they don't care about u too
Oh love, if you're walking with the people
Hold on 'cause they're coming for u
Wake up, little boy, they don't want u
Wake up, u might threaten their plan
Run, run, before they come and find u
@Twaha_Mwaipaya@Lumola_Steven Mwisho Kafanya mauwaji wa ya mdahalo, yaani ni Total knock out with brutality.@Lumola_Steven unatakiwa kwenda the Hague.maana umempiga sehemu mbaya sana opponent wako.Ingekuwa ni uwanja wa vita tunasema umetumia siraha za kuulia Tembo Kwa kuwinda njiwa.That wa amazing 🙏🔥
"Nilikuwa miongoni mwa wataalamu waliohudhuria mkutano wa matumizi ya drone uliofanyika tarehe 28 Novemba, 2024. Tukio hili muhimu lililenga kuchunguza jinsi teknolojia ya drone inaweza kutumika kwa ufanisi katika kutathmini uharibifu baada ya majanga, kuokoa maisha.