Kwani kulikuwa kuna ulazima wa kuandika kwa kiingereza (Just in) alafu ukaweka maelezo ya kiswahili? Wahandishi wa mchongo. Wazee wa "kukopy na kupaste"
🚨 JUST IN: Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ametimka kwenye kambi iliyopo Uturuki kwa kile kinachoelezwa karudi kwao Brazil kuboresha CV.
Kwa sasa mastaa waliopo Ankara, Uturuki watakuwa chini ya makocha wasaidizi.

🚨 BREAKING: A group of furious Manchester United fans are planning a protest against the Glazers at the club’s megastore tomorrow!! #MUFC [@MikeKeegan_DM] 🔴🔥