" Mpango wetu Manispaa ya Morogoro ni kuhakikisha Shule zetu zote kongwe tunazikarabati kupitia Mpango wa EP4R, mradi wa Bost pamoja na ufadhili wa Lanes" Ally Machela Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro.
" Tumeweka kipaumbele zaidi katika kutatua changamoto ya Madawati kwa shule zetu za Msingi pamoja na vipaumbele vingine" Jeremia Lubeleje Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro akizungumza katika Kikao Cha Kamati ya ushauri ya Wilaya Morogoro ( DCC) Februari 10/2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 08 February 2023.
"Niombe sana Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Manispaa ya Morogoro hakikisheni fedha zinazokusanywa kupitia katika miradi yote zisitumike zikiwa mbichi, bali zinatakiwa kupelekewa benki na kutumika kwa kufuata utaratibu mzuri na ulio sahihi kisheria , DC Nsemwa.
" Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imejipanga kuwahudumia kikamilifu ili kuwawezesha wananchi kupata nafuu ya msamaha wa riba ya kodi ya pago la ardhi iliyotolewa na Mhe. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani" Dkt. Anjeline Mabula Waziri wa Ardhi.