Embracing lifes journey with curiosity and wit.
Exploring the intersection of creativity, technology, and human connection.
Lover of Music,Books and Good vibes
Edwin Sifuna: Hawa ndugu zetu kina Riggy G wakienda pekee yao mimi najua watashinda Ruto lakini watamshinda saa nane. Sisi wana Linda Mwananchi tukienda pekee yetu tutashinda Ruto lakini tutamshinda saa nane. Lakini wananchi wanatuambia hii kitu wanataka tumalize saa kumi na mbili asubuhi!
Sifuna is sellable and popular around the whole country. We have never had another candidate in Kenya who can hold rallies around the country and get big crowds. The #lindaMwanaichiThika rally today will show you that Sifuna is our next president #SisiNdioSifuna
Irungu Kanga’ata has just confirmed yeye ni Sifuna. Sisi ni Sifuna.
Hapa Thika kumejaa. We love you watu wa Murima!!
#LindaMwananchiThika#SisiNdioSifuna